Sign in to follow this  
raula

shida ya matatu ni furaha ya mabaya

Recommended Posts

raula   

Salaamz,

Nafikiri mko salama mkwapo. Ebu waswahili wenzangu ..kama wakumbuka VITIMBI(akina mama kayai na mzee OJWANG)..basi burudikeni na hii clip....braze yourself..coz inachekesha ile mbaya mbovu...

 

http://www.djxp.com/gallery/displayimage.php?album=2&pos=20

 

:D:D:D MEELI-GO-LOUND(hehehehe..meaning Merry go round)..heheheehe ...MBLACK DEVOL..hehehehehe

 

kwaherini..basi

 

ma'salama

Share this post


Link to post
Share on other sites
SeeKer   

HeHeHeHE...........Kama nilivyokuwa ninasema before I was rudely interupted.

 

Hata chief akikufa tutachimba........ :D

 

I am talking about reducing your appetite :eek:

 

This killed me aliniambia kwa sababu alinipatia plot lazima nimonjeshe na mwala nikamonjesha Waleeeeeee.............wooooooooweeee

 

Chief ako natabia ya kula na bibi ya watu........umchukuwe umfanye assistant chief huko binguni na kama hawezi assistant chief mfanye mzee wa kijiji ..........Bishop naye alionjeshwa....

 

**Falling down**

 

Thank you very Big @ raula

Share this post


Link to post
Share on other sites
SeeKer   

Oi I just wanna say thank you for da website its in my fav list now lol.............The kenyan Videos be making me laugh.......

 

War niinki Prezo thinks he is fabolous ama??...........Relax jo ..we need originality not clonability.

 

Looking for my name

Naitwa SeeKer

Toka Kenya hadi bongo

Nasikika

Mafellas wakiulizwa

Watahema :D

SOL resident

for your betterment!

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by raula:

^^^and we are proud of it
:D

Basi back to mchongwanos-from kenyaniyetu.

 

TRUST KYUKS TO NAME BARS LIKE THIS.....

 

Ndikuinuka umuthi bar & restaurant.

 

munyaka bar and restaurant.

 

tukundanire bar and restaurant

 

wenda gikeno bar and restaurant

 

Múúkio ta wa njogu Bar and Restaurant

 

Túcungwa twega Bar and Restaurant.

 

Mungiki Bar and Restaurant

 

Reke maarie Bar & Restaurant

 

Nyakinyua Nungu Bar & Restaurant

 

Kamushugwa
or kamuchugwa 'ini

 

Kíragita kíruithio Bar & Restaurant.

 

Sina tabu bar and hideout.

 

Kumi Kumi Bar Restaurant and Lodge

 

Ripa kabra ya Kunywa Bar, Restaurant
:D

 

Kurara Lodge
icon_razz.gif

 

Kanyanyaini Bar Restaurant and Lodge

 

Ripa Kesho Bar restaurant and Lodge

 

Ninyuo ninyuo bar restaurant and Lodge

 

Dynamo cia Makeri Pub

 

Athamaki A Kabati

 

Mera Cinoke Kibera Pub & Rest

 

Mucene Bar & Rest

 

Magomano Bar & Rest

 

Githeri-ini Bar and Restaurant:

 

Tonyia inji ikumi Bar and Restaurant:

 

Redi cia Muthithi Bar and Restaurant

 

Kuhuura kanua bar & restaurant

 

Gukena bar and restaurant

 

Magomano ma athuri bar & restaurant

 

kuda-kuda bar and restaurant

 

Kahuruko kega bar& Restaurant

 

Moi dagacoka
Bar and Restaurant

 

Nyaka~nga bar& Restaurant

 

Miitu ya ndaracaini bar and restaurant

 

Wandahuhu kwendia mwana bar and restaurant.

 

Thoko ya mitugo miaganu bar and restaurant.

 

Kariua ni mucii Bar and restaurant.

 

Tuthugumire cia kahua bar and restaurant

 

Ukuigua uguo bar and restaurant

 

thendi cia Bonathi bar and restaurant.

 

Mung'ari wa saba saba bar and restaurant.

 

Wandindikira kii Bar and restaurant.

 

MUGITHI Bar and Restaurant

 

Tahika na ukome bar and restaurant

 

Kunywa ta magui ikumi.... bar and restaurant.

 

Rigika bar and restaurant.

 

Njoroge ee ruraya... bar and restaurant

 

AND THE WINNER...

 

GUTAHEKA NA KWONA DUMA Bar and Restaurant

Boa sana..Kweri Genya Ni yetu...

Share this post


Link to post
Share on other sites
Xargaga   

hiyo posting ya mabar ni kali. Lakini nilishangaa sijaona the famous Karumaindo bar and restaurant wapi tena watsee hiyo ingefaa kuorodheshwa.

Anyways thanks guys nilikuwa niko kuparactise kama bado naweza kuandika insha.au vipi?

keep up the Nyal-guunga jokes

Share this post


Link to post
Share on other sites
Xargaga   

By the way nimekumbuka ile Bar iliyokuwa pale eigth st: Kamuchinde if am not wrong hivi iko open bado. Halafu nimesikia Mateso Bila Chuki Imefungwa Ni Kweli? wallahi ni afadhali hiyo ifungwe ilikuwa ni bahali ya belaa na sheydaani.

 

Take care guys and pleas ni vema pia kujifunza lugha ya asili ama wasemavyo waswhili lugha ya mama au kinyumbani.kumbuka waaria ni waaria tu.

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

yaani nimerudi nisikize vitimbi before niende kazi kesho...lol...

 

...yani nilikuwa nakoroga soup isishikane...

...vile mzee anashuta..."ati ile umetowa ndio mbaya...kwani ikimix na climate...ni destorayable"..looooool.

...ngozi imefanana na crocodile..hehehehehehe.

...the priest "baba..tumekucha kwako kama tukikimbia kama watoto wachanga..."loooool

...loooooool "wale wanaitaji licence ya kuenda binguni wananiona.."loooool..ngai fafa...

 

loooooooool.."siyo ukim...ni ukimwi.."

...chief ni mzito sana kwa kula mali ya wananchi..

looooooool..."sasa kwa nini hukuniambia nisionje.."loooooooooooooooool

 

ala mabavu wacha ni take a breather now...haki ya ngai

 

ok last Q masijui: "unaweza kula peremende na karatasi".looooooooooool..huyu mwana ni DEADLY. MBLACK DEVIL :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
hodman   

ok last Q masijui: "unaweza kula peremende na karatasi".looooooooooool..huyu mwana ni DEADLY. MBLACK DEVIL

Hiyo ni kari :D:D

Share this post


Link to post
Share on other sites

JAMANI mnaofanya kazi basi hili liwe onyo ;)

 

 

Titled :lazma uwe makini, au huna kazi!!

 

Alipoonywa asipokuwa makini kibarua kitaota nyasi(Atafukuzwa), jamaa ikawa hata anapotoa fotokopi anaangalia spelling mistakes, eti fotokopi mashine inaweza kufanya makosa.

alipotakiwa kubana matumizi, ikawa jamaa anapohitaji karatasi anatoa fotokopi ya empty paper .. akiamini anapata extra paper!!! ikawa sababu ya kufukuzwa kwani kazi inachelewa na wino wa fotokopi unakwisha haraka... LIFE IS EASY, DONT OVERBURDEN YOURSELF :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

another mchongwano ya kiTZ(kutoka zanzi web).

 

1. kulikuwa kuna jamaa wawili walikwenda katika interview ya job mmoja anajua kuzungumza english mwengine hajui. sasa yule aliyekuwa anajua english akaitwa mwanzo akaulizwa.1) wat is your name? asema juma.2) when did man united win the worl cup? asema 2002. swali la mwisho lilikuwa wat is your hobbies? akasema playing football listening to music an going out with friends. ikafika zamu ya yule wa pili aliyekuwa hajui english akamuuliza mwenzake wewe umeulizwa nini akamwambia mimi nimeulizwa maswali 3 na wewe pia utaulizwa hayo hayo. akamwambia wameniuliza jina langu nani halafu man united wameshinda lini world cup nikawambia 2002. la mwisho wakaniuliza unapenda nini kufanya. nikawambia napenda kucheza mpira kusikiliza music na kwenda out na marafiki zangu.yule wapili akaitwa time yake sasa ya kufanyiwa interview. swali la mwanzo aliloulizwa lilikuwa. how old r u? akasema juma 2)when were u born? aksema 2002.3) where do u live? akasema playing football listening to music and going out with friends. alipotoka akamuhadithia mwenzake akasema aaaaaaaaaaaaaaaaaa tumesha kosa kazi. hope u'll enjoy dis

 

2. Mzee kasikia chumba cha pili bintiyake anatongozwa;kijana asema niamini nitaingiza kichwa tu;mzee akadakia usikubaliiii haina mabega hiyo itaingia yote.

 

3.Jamaa mmoja alikua kalazwa hospital kule Mkoani/Pemba kafanyiwa operation ya busha, asubuhi doctor wa kichina anafanya round akamuuliza ' mzee vipi uchi umepewa? Mzee kajibu 'sepewaa' nurse akamwambia wee bwana umepewa uji unasema hukupewa, mzee kajibu 'mie ninsikia uchi', nurse kaja juu wee mzee una wazimu nani atakaekupa uchi wake kwa hali hiyo uliyo!

Share this post


Link to post
Share on other sites

loooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooool

 

Hizo ma restaurant zimenifurahisha sana looooooooooooooooooooooooooooooooooool

 

lakini wamesahau moja Tumaini na makuli bar and restaurant

Share this post


Link to post
Share on other sites

lool..jina za hiyo ma restaurant mbona ni kali.. :D

Got a lill joke uncle wa mine aliniambia today..

He went to Turkana to do some bizness... then his car got stuck kwa matope...he then saw mjama moja mturukana and asked him if he could stand behind the car to make sure that my uncle doesn't hit another car as he woz reversing ....huyo mturukana aka agree...so my uncle started reversing the car...the mturukana woz like ''Ghuja (kuja) tu, ghuja tu, ghuja tu, lakini ukisikia QOTOH , simama!''

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this