Sign in to follow this  
raula

shida ya matatu ni furaha ya mabaya

Recommended Posts

ORGI...wanitakia nini mzee si ni kweli..na hiyo kweli ni maendereo

 

hapana Raula hiyo si haki ndugu mi si mzee ;)

not in the places that matter anyway :D;)

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by Warrior of Light:

Raula, bora na we useme, wajua he even said, mplekee mdogo mdogo (kidogo kidogo would have been perfect) yani ananiuza na mie. Im very disappointed with him. Sisi sote ni ndugu.

mdogo mdogo 'kijeee' yamaanisha .....mpelekee mosmos..which rather means ..mpelekee tartiiiiiiib...falsafa ni neno la kawaida..intoka kwa 'philosophy'...

 

what am suprised with is that WOL and my freind STOIC think am against them or whatever..let me duly advice that am never against them..wala siku karibia hata kuleta mabadiliko kwenye hii sehemu letu la SOL...still ni nzuri tuanze kufunza watu kiswahili (WOL+STOIC)..Wale wantaka kujifunza lugha letu sanifu la Kiswahili... :D:D na sisemi ati ni STOIC tu hajui kiswahili..nasema inafaa kiswahili chake na chetu virekebishwe mara kwa mara kwajili wengine wetu wamekaa sana bila kuongea ama kuiandika kiswahili..

 

and for the folks wa 'kijeeeiii...and pumu...isich'...mazee mnabamba lakini still tuwapeleke mdogo mdogo jo... :D:D:D

 

Raula maxaan isku ogayn... smile.gif umeadimika sana sis...tokea tubonge jo..

 

Peace

Share this post


Link to post
Share on other sites

Wajua Rende mie kiswahili changu ni tofauti na cha kwako, kuna maneno au sentensi fulani ulizo andika zinamaana nyengine, ndo maana nimekasirika jo. Nakusamehe kwa vile umeomba msamaha na ulikuwa hujui. Sisi wote ni wanaadamu tunafanya makosa ni Allah tu ambaye amekamilika.

 

Lakini ningewaomba ndugu zangu maneno mengine msipende kutumia. Rende, nimeshakufahamisha kwa sababu gani nimekasirika nakuomba na waswahili wenzangu mjitadhari na sentensi nyengine.

Kwa mfano sentensi ya pelekee kidogo kidogo also means take the wooing, slowly. Ndo maana nilisema ntamnyonga(strangle)na nimekuwa disappointed na rende , sisi wengine kiswahili chetu kinatafsiriwa kivingine sana. Sio sheng style , mnajua watanzania tunakiswahili mrefu :D

 

Nawatakieni nyote siku nzuri na samahanini kwa kwa kuleta malumbano hapa.

Usalama na amani itawale tena. smile.gif

Share this post


Link to post
Share on other sites
Jacpher   

I have not read the whole 11 or so pages on this thread but even if I did, I wouldn't understand most of them. Lots of Sijuwi in the house I guess. No offence or insult intended. I have lived in Kenya & Tanzania for a year or two and my Swahili wasn’t good but I could get by. But whatever jokes you’re writing here, I don’t understand them.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Duc,

welcome aboard, I think you can read and understand some of the jokes as they are in english but with the african twist.It maybe the accent or a few swahili words. Dont give up to easily.

Have a nice day.

Share this post


Link to post
Share on other sites
STOIC   

na sisemi ati ni STOIC tu hajui kiswahili..

Hapo umenikoseya ndugu!.Hebu tufafanuwe maana ya hii sentensi.Unapo sema hausemi ni Stoic tu hajuwi kiswahili, hapo ndugu umeniuwa!.Kwa sababu unaposema hivyo inamaanisha walimu wangu wa kiswahili kutoka darasa la kwanza hadi sekondari wamehasarisha nguvu yao ya kuhitimiza kwamba ninajuwa lugha ya kiswahili.

Siwezi kujisifu wala kukuonyesha wewe au waandishi wa kiswahili hapa kwamba ninajuwa hii lugha.Lakini nitakujulisha kwamba kiswahili nimefundishwa kutokea darasala la kwanza hadi Sekondari.Kiswahili ni lugha ambao binadamu wote wanaweza kuitumiya kama ville lugha ya kingereza (kingotho-sheng).Miaka hizi zote nimeishi ulaya sijakuwa na hamu ya kuitumiya.Na wala sithani kama nahitaji sasa.

 

Wengine wenu munapenda kuitumiya hii lugha kwa sababu labda ni lugha munayo ithamani au ni lugha munayo jisifu naye.Nitakujulisha kwa taarifa yako kaka kiswahili ninaweza kuiandika au kuitumiya vizuri bila shida lolote, jinsi ni navyo wasiliana nawe sasa.

 

Miaka miwili niliokuwa mmoja wa waandishi katika hii intarneti sijawahi kuitumia hii lugha sana maanake waandishi wengi hapa hawajuwi kiswahili.Nilikuwa ninaona kwamba utumiaji wa kiswahili hapa inaleta ugawanyikaji wa umati.Sababu nimeianza kuitumia kiswahili sasa ni kuajili nimeona wengi wameanza kuitumia kiarabu bila kuwajali wasiojuwa!.Nimeona kwamba wengi wanaweza kuvumilia maumivu ya utenganishi wa lugha .

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

Eeh noma...STOIC ame unleash kamusi jo! Odijo alimteach ki swa ile ya nguvu na beste hajatupa wood.

 

Rendevous...lol @ moss moss. Umenikumbusha Moss Moss, ile ngoma ya E-Sir.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by Viking:

Eeh noma...STOIC ame unleash kamusi jo! Odijo alimteach ki swa ile ya nguvu na beste hajatupa wood.

 

Rendevous...lol @ moss moss. Umenikumbusha Moss Moss, ile ngoma ya E-Sir.

Viking.. :D:D Beste ameblow na dem na ameamua kumshow kabisa... :D:D anajaribu kututoshanisha jo...rakiniiii siwaende kufunzana kiswahili kwengine...na hio ni Sol's Maendereo...

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

Flip,

Wacha afanye vile anajiskia...kweni amekatia manzi yako? Kama unataka manzi enda kwa agency ile mpya imefunguliwa, lol. Wacha kumtupisha beste mbao.

Share this post


Link to post
Share on other sites
STOIC   

Viking, waswahili walinena "Mchakacho ujao, halulengwi na jiwe"(You don't throw stone at an aproaching noise in the bush,wait and see what it is before you take some action).At first i was joking with the brother but now he proved it to me that he is a simpleton.This girl he is refering to, i have never met her, let alone her being a matter of a heart and loin to me!.This is my last attempt to engage him in any discusion.It seems that he lacks the ability to make use of his brain wisely!.

On a side note though, kama ninajiskiya na mtu yoyote kwani nigemweleza yeye na microphone.Inaonekana kijana amechanganyikiwa na wao madem wa Sol.Hajuwi kwamba wengine wetu huja hapa tukiboeka tu!.Rende, nitazozana nawe wakati utakapo jifunza adabu ya kwa heshimu wenzako!.

Share this post


Link to post
Share on other sites

^^^^That is why maybe you made this thread boring.I was just saying you took the thread' Shida ya matatu ni furaha ya mabaya'...a very boring thread...

 

umeifanya thread ya 'kufunzana kiswahili'..sasa nani amelewa? smile.gifsmile.gif mimi wewe...

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by raula:

JOKE OF THE DAY

 

Note: Apology to any Nigerians, but this forward was just hilarious!

A family in Nigeria was puzzled when the coffin of their dead mother arrived from the USA, sent by their sister.

 

The tiny corpse was so tightly squeezed inside the coffin that their mother's face was practically touching the glass cover. When they opened the coffin, they found a letter from their sister pinned to their mother's chest, which read:-

 

Dearest brodas and sistos, I am sending you our moda's remains for burial de in Lagos. Sorry I couldn't come along as de expenses were so high. You will find inside de coffin, onda Mama's body, 12 can s of Libby's corn beef and 12 cans of Luncheon Meat.Just share it among yourselves.

 

On Mama's feet is a brand-new pair of Reeboks (size 8)for Junior.De are four pairs of Reeboks onder Mama's head for Tunde's sons. Mama is wearing six Ralph Lauren T-shirts - one is for Omo Roy and de rest are my nephews. Mama is also wearing one dozen Wondo Bra (your favorite), just divide it among yourselves. De 2 dozen Victoria's Secret panties dat Mama is wearing should be distributed among my nieces and cousins.

 

Underneat mama's body is 20 kgs of cocaine in satchets which is wort 120 million Naira. Dis should take care of all of you and de unborn babies in your bodies. Dont bury her wid all dis fortune.

 

Mama is also wearing eight Docker pants - Ikeje, please get one for yourself and de rest are for de boys. De Swiss watch you asked for is on Mama's left wrist, please get it. Aunty Ifoma , Mama is wearing what you asked for ie ear rings, ring and necklace -please just get dem. Also, de six pairsof Chanel stockings dat Mama is wearing must be divided among the teen-age girls de. I hope dey like de color.

 

Your loving sister, Nene

 

PS: Plse take care of finding a dress for her burial since all i had dressed her in were your presents.

:D:D:D:D

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

Ok Flip manze sare basi jo..umemmalizia beste kabisa..na ni chali mmoja poa kabisa..so walalo tuheshimiane basi. And by the way..Rende..naona umefungua agency moja QATARI SANA ;) ...ma manzi wamekudendea jo...sasa bro...si nzuri ufikishe riziki kwa ma bros wengine? ...ama

 

Vikes-Esir ni mambo yote :D peleka mos mos basi :D

 

Yaani nimekuwa busy sana mpaka my leisure time ya kuchapa kinanda :D (Taarab, bongoflava etc)..even Daudi kabaka :D:D:D even akina KATITU...I dont have it anymore..walaahi life after CHUO ni boring kabisa.

 

Masal Kheri

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this