Sign in to follow this  
raula

shida ya matatu ni furaha ya mabaya

Recommended Posts

Mustafe   

If I may ask you sijuis a random question; is there a way I could re-learn Kiswahili again? I spoke it fluently, but never actually learnt to write it even though I had few lessons and it looked really easy. I didn't speak it for 15 years and have since forgot. If I go back to Kenya or any of those other countries where its the spoken I'm sure it wont take me more than 6 months to speak it well again and even write it perfectly, but is there way I could teach it myself whilst living in a western country?

Share this post


Link to post
Share on other sites
wyre   

raula;901302 wrote:
^^^lol.

 

Here is a funny text/SMS.."Kuna jamaa alikuwa amekula miraa mpaka akawa fullhandas akicheki nje aona mvua yanyesha akasema doh mke wangu atakuwa na wasi wasi kama sikuenda hapo hapo akachukuwa mwavuli akaenda kwa mke wake akamwambia mke wangu mvua yanyesha sana siezi kuja nyumbani nitakuja kesho"

Hahahaha, Asante Raula nimecheka wallai

 

shiko hio

 

 

Kujifanya kujua english ni noma! Jamaa mmoja toka town alikwenda kumtembelea mama yake vilage ile alipofika tu mama kumwona mwanaye akamkimbila kumkumbatia mtoto akasema mama KISS ME mama akajibu wewe hicho kisimi unachokitaka changu au cha mkeo? Jieshimu :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
wyre   

Mwenzenu nilitamani, gari kulisafiria

Laonyesha la thamani, kwa nje na ndani pia

Kiumbo li wastani, mfano wa gari KIA

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Gari hili lavutia, kwa hilo nakubalia

Rangi yake kahawia, machoni imetulia

Wengi wanaliwazia, na sifa kulisifia

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Kilitazama kwa mbele, pembeni limetanuka

Utapatwa na vipele, mwilini kusisimka

Natetemekwa vidole, nikipanda sita shuka

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Kwa nyuma linapendeza, napenda wake mbinuko

Na mwendo likiongeza, lapepea kama puto

Ni kweli sijalikweza, gari hili moto moto

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Muda nilipo patia, gari hili nilipanda

Tena nikashikilia, katikati nikatanda

Kelele nilisikia, ila gari halikwenda

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Gari lilikakamaa, lilishindwa nifikisha

Pale nilipo tazama, mafuta linavujisha

Si kama nalisakama, mashineni kulitisha

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Nimebaki na majuto, gari limekinaisha

Sina tena ule moto, wa gari kulipaisha

Mwili bado umzito, bora nisinge liwasha

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Bora kupanda bajaji, popote wajipitia

Hazina mwingi mtaji, injini ni ndogo pia

Beteri ukisha chaji, wajitambia na njia

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

KLORO na SPRINI, mwaonaje hii hoja

SHOSI naye WAKIJIJI, mchango wenu nangoja

MAGULU uko kundini, LIZZY pia tupamoja

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

Na wote nisowataja, msiache kuchangia

Nipeni nyingi faraja, hoja sitapuuzia

Safari niloipanga, katu haikutimia

Gari hili gari gani, najuta kulipandia

 

:D :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

SERYKALY performs...WITNESS PROTECTION :D

 

 

msichana chagua jina moja..Mary ama Anne.....the rejoinder regarding Nameless looool...is just hatari :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

 

 

Another SERYKAYL performance-to NATION MEDIA team..lol...

 

lol@the Pythagorean theorem & gravity...

 

@4:13- "during the 9pm bulletin...we also want you to tell us where those BULLETs come from because the govt does not provide any ammunition to members of the press" :D lol "ladies & gentlemen..the ENGLISH used to say ..where the is a WILL there is a BENEFICIARY :D we'll correct it..where the is a will, there is a way" :D

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this