Sign in to follow this  
lol

Singles SOL users Register Here

Recommended Posts

wyre   

Malika;889702 wrote:
^Halagu maqlo.

 

Wyre - msikilize kaka yako OZ, gonga milango, acha kulalia masikio..lol [anza na yule dogodogo]

haya, kama unasema wewe, naanza na Centric :D

 

Centric dia, I din't say u are a guy I just said avatar yako ni kali :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
Oz   

Somalicentric

LOL OZ hiyo slang ni ajabu jo!!!

Somalicentric loool..nikianza sleng muta hepa :D afadhali nikaye kimya. eh wamuona wyre kafikiria wewe ni mbuyu fulani!! nafkiria hiyo jina lako yatishia maisha...

 

Ps: Kubadilisha avatar na rahisi sana figure out tafadhali wacha kutu aibisha jo!! :D mbele we ni yule jama alikua akikuja mtaani na bicycle kupiga picha akipiga kengele LOOL

 

 

 

Malika;889702 wrote:
^Halagu maqlo.

 

Wyre - msikilize kaka yako OZ, gonga milango, acha kulalia masikio..lol [anza na yule dogodogo]

haha unamuona wyre yuko hunting mbaya mbofu namuombea kheyri Malika we lakini vipi tuko soko ama vipi? LOL

 

 

Wyre, we wacha kutupa mbao abti..nini tena :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
SeeKer   

Oz;890193 wrote:

 

 

Wyre, we wacha kutupa mbao abti..nini tena
:D

Oz I have never met a nai person shenging with the word abti? That sounds like NEP sheng ama..............

 

Malika shikamoo bi mdogo *Waves**

Share this post


Link to post
Share on other sites
Malika   

^Marhaba bi mdogo!...napokea salamu yako kwa furaha..Long time no see!

 

Oz, nafasi ilishajazwa siku nyingi sana, aliepewa kazi na cheo kapandiswa..Lool.

Share this post


Link to post
Share on other sites
Wadani   

Oo in aan SOL ka baxay oo an qolka Tanzania galay maxaa laygu sheegi waayay. Meeshuba waa wada kidogo kidogo iyo karibu miidhan:D

Share this post


Link to post
Share on other sites
SeeKer   

Raula marhaba bado niko chuoni lakini inshallah clinic yaja baada miaka mbili. Nitakujilisha na barua ya upepe ;) habari za masiku?

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this