Sign in to follow this  
N.O.R.F

Tacsi

Recommended Posts

Ms DD   

Salaam

 

Innaalillaahi Wa ina Illaahi raajicuun.

 

May Allah forgive all his sins and grant him the highest Jannah.

 

May allah ease your families pain Bob.

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

Ina llilahi wa inna ilehyi rajiun

 

Nakuombea mola akunyepesishie huzuni na subura wako wakati huu. Walalo soma hii dua ikupata wakati..manaake huzuni na kilio haita mrudisha mzazi wako..lakini twakuombea rehma za maulana zamshukia na awe angao wajazi wa Janatul firdowsa--Amin (pia sisi na wazazi wetu insha-allah).

 

Mtume S.A.W. kasema katika Hadithi iliyotolewa na Ahmad, “Atakaepatwa na dhiki au huzuni au ukiwa aombe dua hii ifuatayo, “

‘‘اللَّهُمَّ إِنِّي عَبْدُكَ ، وَابْنُ عَبْدِكَ ، وَابْنُ أَمَتِكَ في قبضتك . نَاصِيَتِي بِيَدِكَ . مَاضٍ فِيَّ حُكْمُكَ ، عَدْلٌ فِيَّ قَضَاؤُكَ ، أَسْأَلُكَ بِكُلِّ اسْمٍ هُوَ لَكَ سَمَّيْتَ بِهِ نَفْسَكَ أَوْ عَلَّمْتَهُ أَحَدًا مِنْ خَلْقِكَ ، أَوْ أَنْزَلْتَهُ فِي كِتَابِكَ أَوِ اسْتَأْثَرْتَ بِهِ فِي عِلْمِ الْغَيْبِ عِنْدَكَ ، أَنْ تَجْعَلَ الْقُرْآنَ رَبِيعَ قَلْبِي ، وَنُورَ صَدْرِي ، وَجِلاءَ حُزْنِي وَذَهَابَ هَمِّي’’

“ALLAAHUMMA INNIY `ABDUKA WABNU `ABDIKA WABNU AMATIKA FIY KABDHATIKA. NAASIYATIY BIYADIKA. MAADHIN FIYYA HUKMUKA `ADLUN FIYYA QADHAA-UKA AS-ALUKA BIKULLI SMIN HUWA LAKA SAMMAYTA BIHI NAFSAKA AU `ALAMTAHU AHADAN MIN KHALQIKA AU ANZALTAHU FIY KITAABIKA AU STA-ATHARTA BIHI FIY `ILMI L-GHAYBI `INDAKA AN TAJ`ALAL QUR-AANA RABIY`A QALBIY WANUWRA SADRIY WAJILAA-A HUZNIY WADHAHAABA HAMMIY.”

Maana yake, “Ewe Mwenyezi Mungu! Hakika mimi ni mtumwa Wako, mtoto wa mtumwa Wako, mtoto wa kijakazi Wako, utosi wangu uko mikononi Mwako, yaliyopita kwangu yako katika hukumu Yako, ni usawa kwangu kunihukumu Kwako, nakuomba kwa kila jina ambalo ni Lako ulilojiita kwalo Mwenyewe, au uliloteremsha katika Kitabu Chako, au ulilomfundisha yeyote yule kati ya viumbe Wako, au ulilolihifadhi Wewe Mwenyewe, katika elimu iliyofichika Kwako, nakuomba uijaalie Qurani kuwa niraha na uchanuzi wa roho yangu na nuru ya kifua changu, na utatuzi wa huzuni yangu, na sababu ya kuondoka majonzi yangu.”

 

salaam.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Inaa Lilaahi wa Inaa Ilayhi Raajicuun...Brotha Bob I know what you going through....Ilaahay Aabe Janadii ha ka waraabiyo...Danbigiisana ha dhaafo idinkana samir iyo iimaan, geerisidiisa dabadeedna ilaahay culeeskeeda iyo murugteeda ha idin fududeeyo...

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this