Sign in to follow this  
raula

shida ya matatu ni furaha ya mabaya

Recommended Posts

Viking   

Mr Ebbo ni mwimbaji wa TZ ambaye asili yake ni Maasai. He's well read with conscious lyrics and extremely funny. In one of his songs, he ridicules the way history was twisted by the colonialists to make the Africans sound so primitive... He says something like...eti wanasema waligundua mlima Kilimanjaro, si wachaga waniishi pale pale mlimani.

 

 

"Mr Ebbo started out in Arusha doing ragga rhymes. After putting out two cassettes which got distributed locally, he switched to r&b, one of his songs even got covered on some American compilation tape. After moving to Tanga with his family he moved out of rap for a while, and came back in 2002 with a new approach, dressing like a Maasai and rhyming with a Maasai accent. The funny hit song 'Mimi Mmaasai' discusses life in town from the eyes of an ignorant Maasai warrior who has a different look on the luxury lifestyle that some people rate so high."

 

_38705989_ebbo150.jpg

 

 

Have you ever heard of Cool James? I knew the dude and just found out that he had died in a car accident in Dar, tragic!

 

 

"Cool James sadly passed away in a car accident in Dar es Salaam in 2002, in the mid of a career move that promised greater success in Tanzania.

James, nicknamed 'Mtoto wa Dandu', first got professionally involved in music while living in Sweden, made some money from selling a lot of records with his Euro-house style singles under the name of 'Cool James & Black Teacher'. Then he came back home (his origins are in Mwanza), recording r&b flavored songs. However he even did a rumba kind of album which really was a fusion of ndombolo (Zairean) style with modern dance music and scored a big hit in Kenya with his remake of the evergreen Sina Makosa. Initially he was not really in the local hip hop scene, more on his own thing, but in the months before his death he had become very active in organizing his Tanzanian Music Awards and recording an album at Master Jay's studio."

 

CoolJames.jpg

Share this post


Link to post
Share on other sites

kwakwakwakwa, vituko vya uswahilini. lol

raula umenikumbusha jokes kabambe, unajua basi yule jamaa aliyekua anaweka shati juu ya nzi, alikuwa high on handas. so, jama kazidiwa, anaona joto, sindiyo akaona hook, kumbe nzi, basi anaenda kutundika shati, nzi aruka, nayee anafata, akikaribia tuu, nzi huyo, sasa jamaa akuna kichwa, mbona hii hook yanikimbia?

 

viking brother, unamtafuta mr.ebbo, nadhani unaweza kupata vimbwanga vyake at www.mzibo.net au www.africanhiphop.com au www.darhotwire.com

 

na raula, hamna taarabu kama yaki zanzibar, and bongoflava like bongo's, haha, lakini usimsahau malika kidogo basi. lol

Share this post


Link to post
Share on other sites

Viking

 

Bahati mbaya link za Mr. Ebbo hasikubali kufanya kazi ( visit www.mzibo.net) .Cant deny Mr Ebbo and his hit Mimi masai had me laughing. '''Unakwenda dar unasikia bizi(busy) Unaulisa bizi ni nini huoni '''' nakathalika.

 

I heard the hot singers in Tz are Juma nature, Mr.Blue and Nagwea.Have heard Nagwea song -MKASÄ° (09.07.2004 The hottest bongoflava single in Dar).

 

 

you can listen to the former Mr T now known as Sugu thru www.africanhiphop.com and other Tz and Kenyan artists.

 

I havent been a cool James fan but was visiting Dar when he had his tragic accident.

 

 

You can listen to an artist called Ay his song Machoni kwa watu is a song about AIDS n ideals . Another good song is Mtoto wa geti kali by Gangwe Mobb. U will crack up. Kuna mambo bongo.

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

Thx for the tips The Observer and SisSade, hizo links hazina samples za Mr Ebbo. Lakini mangoma zile minapenda ni akina E-Sir, Nameless, Redsan, Mr Lenny, Kleptomiax, Wahu etc. Angalieni link hizi...

 

www.nomasana.com (click on music lounge..then Kenyanese for samples)

 

www.nyamachoma.com (chini kwa hiyo page...DjNyamachoma)

www.wakilisha.com

www.supuu.com

 

 

Watu wa TZ napenda TID (Zeze, one of my all time favourites) na Mr Ebbo (Darisalamu ni joto kama pasi)...wengine siwajui vizuri.

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

raula,

Nimepata some Ebbo samples on www.nomasana.com Click on music lounge...alafu click on the little arrow on the window that says Kenyanese ...> A small window will open with tunes in it...go down to number 89, 90, and 91. Double click to listen.

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

^^^asante sana. The new kenyan beats akina E-Sir, Nameless, Redsan, Mr Lenny, Kleptominiax, Wahu niko nazo home..nilidabiwa (nikonazo home)-nakuambia nazidunda sa zingine (yaani wakati kijwa imejaa masomo-too much medical jargon :D ) mpaka wasomali wanasema leo huu demu amekuwa kichaa ;) . Lakini sijijui wasee wa TZ(can you imagine sijawahi fika hata coasti -i.e Mombasa, Lamu, malindi) :eek: maajabu dunia hii-but I love listening to Taarab. So Iam counting on you akina VIKING, OBSERVER, SISSADE(na wengine) tu keep me updated on TZ scenes. Jana usiku niliongea na familia NAIROBI-sasa leo niko na furaha kabisa(its always good to hear wasee wa NAIROBI).

 

OBSERVER-hiyo joke ni NOMA masee ati anafukuzana na nzi :D ..looooooool. Ma story za VEVE walaahi ukisikiza utasema hawa wasee hawana kichwa-lol.

 

VIKING thx for the link again..and nakuambia kenyan scenes sikuhizi ni NOMA :cool:

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

raula,

I also relate more to akina E-Sir, Nameless et al. Mabeste wa Nairoberry kama mimi :D

 

J11,

I used to think he was a Somali because he mentionned Garissa in one of his songs, lol. But he wasn't. His real name was Issah Mmari, his mother is called Damaris Wangui (most likely a Kikuyu) and his fathers name is Amin Mmari who I think is from Tanzania. He died in a car crash in 2003 and his mother said that he was "God fearing and always considerate of others".

 

In this song (Hamunitishi - which you can listen to at nomasana.com), it seems like he's talking about life and death, and the possibilty of suddenly dying, which he ironically likens to getting a puncture while driving. It is so weird how he was thanking people in this song, as if he knew his life was about to come to an end.

 

 

HAMUNITISHI Lyrics by E-sir

 

Vitisho vya peni mbili

 

Vitanifanya mimi nini

 

Chorus

 

Hamunitishi tishi Hamunibabaishi

 

Maisha nayo ishi hayanikubalii

 

Bila spare tyre

 

Nasafiri kwenye barabara ya maisha

 

Bila kutaka

 

Saa yoyote naweza kupata puncture

 

Kwa hivyo

 

Naendesha gari yangu polepole sana

 

Allahu Akbar ni mkubwa

 

Asante baba kwa kunisaidia kujua

 

Ukiojesha mazuri mazuri utapona

 

Tangu siku yangu ya kuzaliwa

 

Mpaka siku hii tumefika

 

Hakuna mtu angewaifikiria

 

Sifa za E-sir yule kijana

 

Aliyekua akikaa njomes

 

Akisaga ngomba ijapokua amesoma

 

Angekuwa akisikizwa kwa redio

 

Matamushi kukubaliwa na kila masikio

 

Kucheza Kuku dance au chakacha

 

Ndio matokeo,leo ni leo

 

Nikilegea chapapu nitapepea

 

Ni maisha ninayoishi

 

Hamunitishi Hamunibabaishi

 

Chorus

 

Niliambiwa kidole kimoja

 

Hakiwezi ua chawa

 

Ndege hawezikupaa bila mabawa

 

Bila nyinyi singefika hapa

 

Bila mpira

 

Utacheza aje gemu yakangana

 

Asanteni kwa kunipa moto wa kuandika

 

Asanteni wakati wa vita kunisimamia

 

Asante kwa kuwika mtu akimshika

 

Ametushika na hiyo ni shida

 

Pirates mpaka kufa

 

Nasingependa kukufa bila nyinyi kujua

 

Mimi si mimi bila nyinyi

 

Na nyinyi ndio maisha Ninayoishi

 

Ndio sababu hawanitishi

 

Chorus

 

Nimefika ongeza volume na ukaribie

 

Yatatu ni ya kila mtu aliyenisaidia

 

Kutoka Ogopa djs mpaka

 

In the booth Djs Waliyokua wakiprezent

 

Na kumwambia reply hiyo ngoma imetumbaba asanta

 

Ndio maana Polisi maMC, maadui, hii industry

 

Hawanitishi hawanibabaishi

 

Maisha nayoishi hayanikubalii

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

^^^kabisa..walaahi nilikuwa nasikiza jana :D;) nakuambia hawa ni noma..I like when vile album inaanza...he says "there are two kinds of people in this world...those that have names and those..that are nameless...OGOPA 3 presents..blah blah..tumekuja kuwa wakisha.."and the music resumes..walaahi hawa ni NOMA..However..ile sheng enye wanachapa nakuambia...si nyiti(understand) wakati nyingine..they have perfected the lingo(sheng!).

 

So V-beste wa NAIROBI eh ;) poa basi. Mi Mtu wa Mlango Kubwa icon_razz.gif

 

J-11 as VIKING explained..E-sir alikuwa mtu wa South C-and from what I heard he was Mwislamu smile.gif but now he is dead.

 

yaani walaalos niwaambie..nimekaa hapa kwa walendoz(I mean it in the nicest way-as in wasomali)...mpaka kiswahili imepotea..nimesahau namna ya kuongea lugha..and when I call NAI..I have to speak english or kisomali..gai wakwega ;) I need help walaahi(kijana wa kinyumbani ingekuwa poa..lakini wenyewe hawa onekani jamani..salaala) ;)

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

raula,

Mlango Kubwa? Nikona memories mingi kutoka huko, not to mention the Pumwani swimming pool where I was forbidden to go by my mum (but still went anyways) and learnt a valuable lesson when one time some dude stole my trousers and I had to walk ALL the way home in my underwear, lol. How was I to explain the situation? Nakumbuka nikicheza kwa viwanja za pale that later came to be Juja Rd estate. I even used to peleka zile gari za kurutu at a tender age :D

 

PS: If you want to brush on your sheng and swa then you should visit the forums at www.mashada.com

Some people there are just too damn funny.

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

^^^Mashada na visit there most of the times..been a member also for some time lakini..its like kila siku kuna sheng moja mpya and Ican't keep up with it-lol

Anywayz, VIKES I dont wanna picture we tupu-tupu mpaka home. Speaking of swimming..I used to go to JAMU(me and my friend Christina) to play tennis and swim..coz chuo yetu(NGARA GIRLS icon_razz.gif )haikuwa na swimming-so we shared the pool. Nairobi brings back memories, true VIKING..and insha-allah I have to go back soon to re-live some :D But the best memories ilikuwa wakati wa RAMADAN and IDI..the spirit of the whole country was Exuberant..cheerful..mansha-allah. Insha-allah I will have to spend one RAMADAN there-insha-allah :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

Ok waswahili wenzangu..najua mmefunga saumu(or not!) lakini chekini hii MCHONGUANOS from a kenyan site..walaahi nimekufa kucheka mpaka watu wanafikiri mi ni MWENDA(mwenda wazimu) :D;)icon_razz.gif

caution: kiswa imechanganywa na kingereza!

 

Ati meno zako ziko spaced mpaka ni ka ulimi yako iko jail :D

ati we ni mweusi mpaka shetani akikucheki anasema ............jesus!...(this was my fav..loooooooool) :D

 

Ati we ni mrefu mpaka ukivaa trao by the tyme ifike kwa waist imeisha fashion

:D :rolleyes: ok is that the fate all warefus..hehehe..still funny even though it applies to moi ;)

Share this post


Link to post
Share on other sites
Viking   

raula,

Niliona zingine noma huko mashada...

 

 

Ati wee m-black mpaka ukiingia kwa dinga, dirisha zinakuwa tinted!

 

Ati wewe ni mdark ukitoka nje usiku giza inasema "aarrrgh we ishia"

 

Kama akili ni nywele, huo upara wako unatwambiaje?

 

Kwenyu nyinyi ni mababi mbaka dogi yenyu hu-bark na tweng.

 

ati kwenu nyinyi ni wagesi mpaka munakula ugali na picha ya kuku..

 

Kwenu kuchafu mpaka mende zinatema mate, ati tu! hii hao ni noma

 

Vile wewe mfupi, ukipigwa picha ya passport inatokea full.

 

Kwenu nyi wakristu hata dogi zenu zikiona mwizi anaiba zinamshow wee iba tu Mungu anakuona.

 

ati nyinyi ni wachafu hata mkitoka nje mnajipanguza miguu.

 

ati wewe ni fala sana ulienda movie ukaambie ni "18 ONLY" alafu uakarudi na mabeste 17!

 

nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers

 

ati hao yenu ina gate lakini hakuna fence

 

We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement

miguu ina hang kwa hewa.

 

we mjinga mpaka ulifail blood test.

 

Wewe ni mblack mpaka mosquito ikitaka

kukuuma lazima itumie torch.

 

we ni mrefu mpaka ukikunywa maziwa

inafika kwa tumbo ikiwa mala.

 

Wewe ni mweusi ukikanyanga makaa unawacha

footprint za blak kwa makaa.

 

Unapenda kuvaa nguo za color mingi mpaka

chameleon ikianguka kwa nguo yako inapata

black-out.

 

nyinyi wengi kwenu mpaka ule mtu amelala vizuri ame jifunika na ngumi

 

Budako uhepa job kwenda kuswing na gate.

 

Ati wee ni mrefu mpaka unafunga kitambaa ya red kwa toe usiku

 

mathako fala alipokuwa akikupeleka airport akaona sign "airport left" akarudi home...

 

Nyanyako mzee mpaka chawa za nywele yake hutembea na bakora.

 

Budako ni fala, aliingia disco akasema "nani huyo anacheza na stima".

 

ati nyinyi ni wengi nyumbani kwenyu yaani buda yenu hajui majina mpaka huwa address kama wananchi

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

"nyumba yenu ni chafu mpaka cockroach huvaa slippers"

 

lool Raula and Viking, we're meant to be fasting... really this is the funnest I have heard for a long time.

 

Lol Ati "We' ni mshort mpaka ukikalia kwa pavement miguu ina hang kwa hewa."

 

Walahi this is deadly funny! Thanks lol

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this