Sign in to follow this  
Paragon

Mashairi - Kiswahili ni kitamu - TZdi Poetry

Recommended Posts

Macalin   

jamal..yes so it seems..

and only certain ppl can know it...mhm i wonder where u from?..same lineage?

holla back

Share this post


Link to post
Share on other sites

And here are some proverbs you forgot,jamaal.

Asiye funzwa na mamake hufunzwa na ulimwengua.

Asiye sikiya la mkuu huvunjika guu.

Mchagua jembe si mkulima.

I gotta go for know...until next time.

Share this post


Link to post
Share on other sites

And here are some proverbs you forgot,jamaal.

Asiye funzwa na mamake hufunzwa na ulimwengua.

Asiye sikiya la mkuu huvunjika guu.

Mchagua jembe si mkulima.

I gotta go for now...until next time.

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

Kwangu kusema kiiswahili ni ta'abo kidogo, kwa hivyo afadali ni nyamaze kabisa. Nilikuwa mtoto kidogo masiku zile nime jefundiza lugha la kiswahili lakini sasa hivi nimeisahawu lengi. No ngeli yango "Sux", Nina juwa tuna wahenga kati wetu (kama STLHM_lady).

 

I have tried.....my swahili doesn't rhyme but there you go...!

 

This is a swahili poem i wrote.....the gramer sucks i know but ..try to understand it please...

 

Usiniite "wee ni mlendo",

Pole pole ndiyo mwendo smile.gif

Watu wadani sina pesa

Na wanaanza kuni tesa

Ingawa nili toka Somalia

Kenya indipo nili-Somea

Askari waketutisha

wakAIBA pesa zetu

sasa sina MPENZI wa Afrika

Wala sitaki kurudi Somalia

 

Bado niko mkimbizi

Na maisha si rahisi

WaSomali hawapendani

Pundiki ilio tukimbiza

Na hapo papo kuna mavisu

Share this post


Link to post
Share on other sites
Macalin   

Jamal.

saaxib thats some deep shyt yo.

and u claim ur swahili doesnt ryhme?

woow..i don wanna say anythin else.

kwa hivyo..keep up the good JOBO..ama.

basi ma'asalama

Share this post


Link to post
Share on other sites
HONEY-D   

wat is this? sawahili praticing room well in dat case let me share.

 

is it 2late to join da class. i just wanna share ma fav sawahili song and this is how it goes!

 

jumbo jumbo sana masuuri sanaa ha kuna mataata dont know da rest 4give . ;)

how do u like da song. :cool:

Share this post


Link to post
Share on other sites
Macalin   

lol..canbarro.

its jambo jambo bwana

habari gani

msuri sana.

wageni wa karibishwa

somaliaonline yetu(u can fix it)

hakuna matata,.

somaliaonline..ni site nzuri sana*2

somaliaone hakuna matata

i changed the somaliaonline thingi to best describe it.

well there u have it.

and yes jamal like..sthlady said,u got it the dude ni NOMA..and yes ana TISHA

Share this post


Link to post
Share on other sites
CARTAN   

Nimanyahow far Soomaalidaa, fiicanoo ladane!

Fudayd bay u dhigantaa ninkii, fiirsadoo qora’e

Fagaaraha wixii lala tagoo, faansan waayada’e

Max'ed Ismaaciil

-------

 

War sxb-yaal, are we expecting to achieve fame & fortune when using those sort of foreign languages? I don't think that would be possible in any means, because one would know or understand what the consequence of that should be. Wallaahi, I wonder what enticed most of our folks to be a cheap tool and extension of Afafka Ajnebiga. War niman yahaw Afkeena aan ku faanno, kor u qaadno, wax isku weydaarsano oo aan ilaalino sharrafta, sumcadda & qiimihiisaba, sida ay tixdaa koreba tilmaamayso, oo sxb-yaal aan ka waantowno Afafkaa qalaad, ma wanaagsanee.

Allaa Weyn Ninkii aaminaa Awood leh!

Share this post


Link to post
Share on other sites
HONEY-D   

Lakkad thnx 4 ur correction. i guess dat shows ma poor understanding of da language.next time i'll double check. :confused:

 

lakkad 1 more thing dont u dare spread a rumours.I'm too sensitive if u know wat i mean. :mad:

Share this post


Link to post
Share on other sites

saana lakkad..tuma badilisha hii section into a swahili section..lol..But what the heck,tuendeleye tu

I have a poem here:

 

MAMANGU ULINITUPA

Ulinitupa kwa pipa,nife niwe takataka.

Ukakimbia kwa pupa,kisiri ukaondoka.

Ikawa umenihepa,pasi hofu na mashaka.

Mamangu ulinitupa nimwite nani mamangu?

 

Umrefu umfupi,nashindwa kuyatamka.

Wala sijui U wapi,mwanao nahangaika.

Mie nikupate vipi,inijibu kwa hakika.

Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu?

 

Katika kazi zangu fikira,sijui nilikotoka.

Naelezwa na hadhara,mimi ni mkosa tabaka.

Kwa jina mimi chokora,jijini na zunguka.

Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu?

 

Nilijikuta jijini,kila pembe nazunguka.

Mchana niko mbioni,barabarani naruka.

kubwa napigiwa haoni,magari nikiepuka.

Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu?

 

Vile ulivyoyawaza,uniache kwenye nyika.

Heri ungenimaliza,kabisa na kunizika.

Heri ningalioza nisikupe heka heka.

Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu?

 

Naambiwa hujafariki,Ungaliko wazunguka.

Kusini na mashariki,huchagui japo rika.

Ela siku ya harikiki,mwanao nimeshachoka.

Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu?

 

Kutwa ninavuta gamu,ndipo nilewe haraka.

Si kwamba ninayo hamu,nakuomba hivi shika.

Majina kama wazimu,naitwa hata kizuka.

Mamangu ulinitupa,nimwite nani mamangu?

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this