Sign in to follow this  
Mombasa_QUEEN

Get On The Bus

Recommended Posts

IL CAPO   

Originally posted by Mombasa_QUEEN:

IL capo kama unaenda nyumbani hebu kanuse hewa alafu tuambiye inanuka vipi...halafu tuletea orbit na biggee na usisahau bolgum lol.

LoooooooooooooooooL, wewe ni wazimu, ati kanuse hewa? hewa gani, yako? :D:D:D . inanuka kama Mjaluo :D:D .

 

una taka Orbit gane? spearmint flavour or strawberry? Big G ni ball gum ya watoto. kuna kitu ngine una taka kutoka Coast? Vipi samaki na cassetti ya Ta'rab?

Peace.

Share this post


Link to post
Share on other sites
IL CAPO   

Originally posted by raula:

[QB

SisSade na Mombasa Queen-huyu sheikh wa GARISSA
;)
(mzee IL_CAPO)ni kibogoyo
icon_razz.gif
na kazi yaki ni kuchincha mbuzi au kondoo wakati wa MAULIDI
:D
loooooool. Asiwatongoze wanangu..mdomo tamu huyu
smile.gif
[/QB]

LoooooooooooooooL,

Wewe, Raula,buona una ni piga Bomb hivyo, wewe ni hasidi jo, mimi na jifanya kijana ya miaka 18 na wewe una mwaga siri zangu wote kwa barabarani.

 

usi seme mimi ni mzee tena kama hutaki ni kasirike

na una jua what will happen niki kasirika :D .

 

walalo, ni tumeni ma Dua' kada tafadali, si sikiyi fizuri sikuwizi.

 

Stay Sijui and Proud yinyi wote smile.gif .

Kwaherini.

Share this post


Link to post
Share on other sites

lol Ilcapo acha zako bolgum ndio poa mmmh na orbit usilete ya starbery sawa...na kama unaona haya kuleta bolgum basi leta mabuyu,kashata na asali ya nyuki lol anywayz takecare.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Ati hata Tana River ni coast..I thought this guys are here for a different motive...ni kubwa kuliko kashata..mabuyu na kadhalika......... :D

 

Rendezvous...anaenda hivi :mad: mfuate ule asali

Share this post


Link to post
Share on other sites
IL CAPO   

hutaki Asali ya Sukari? :D ki Mkamba style.

sawa tayarisha chapa pasi na usi niambiye huna change.

take care of yourself too my dear sister.

Peace.

Share this post


Link to post
Share on other sites
IL CAPO   

Originally posted by Mombasa_QUEEN:

Ilcapo unaongeya about change sina hata sumuni.lol

leta Shilingi pasi kma hamna Sumuni. smile.gif

Peace.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this