Sign in to follow this  
-Serenity-

Troll Corner

Recommended Posts

N.O.R.F   

I went to the English speaking mosque in Sharjah today (waan yara fogaaday) and the khateeb was talking about the importance of learning the Arabic language :D

Share this post


Link to post
Share on other sites

Well it’s Friday and I had a lovely night last night and it’s about to be repeated tonight and a friend of mine is flying in today with a special bag for your truly life can only get better eeh.

 

Ps lunch time I met up with my friend at the next building and lord and behold there stood the man I fancy in spandex aah that made my lunch break loll hahahahaha am going mad am just in a good mood/phone only rang 20times today aah, practically no emails… it’s a wonderful day…

 

How is your lily?

Share this post


Link to post
Share on other sites
-Lily-   

Sounds good CL. Well, it's Friday and we have an ednless supply of Haribos in our office... I'm just looking forward to the weekend. I'm hoping it will be as good as last weekend ;) No complaints alhmdl!

Share this post


Link to post
Share on other sites

Malika una taka stori za mchumba wangu nini? Mambo gani haya tena una taka kuni ripua namna he..eeh makubwa ata si madogo leo,... hal;i vipi nawe mbona sijakuona kwa muda..mumeo naye kachukua komputer ama ndo shuli emefunga nawe una chukua lekizo?

Share this post


Link to post
Share on other sites
Malika   

^Lol..am under house arrest,plus restriction on the pc too..Lol

 

Mchumba gani tena,miye nikidhani umesha fungia buzi nyumbani..lol

Share this post


Link to post
Share on other sites

Malika buzi moja ana tosha nawe? Lazema tuwe na area-code mume/mshumba/mshafi/buzi wakum chuna ngozi... waona sasa stori ndo hayo lol, wajua mambo ya ulaya ni usafiri tu so lazima pia tushekani na muda sasa, shoga sija jua kumbe wewe ni nisheki tushekani type, wala sijajua i tell you..

 

Lakini ndo mambo gani ya mafungaji ya nyumba, ruka dereshani basi..nakomputer pia kafunga sasa ndo mume huyo embu ji funze kwa wasonjo weka mfuko wa rambo enji basi looh

Share this post


Link to post
Share on other sites
Malika   

Okay,unajua kiswahili imekuwa lugha ya tatu sikuhizi..hebu nile elaze maana ya nisheki,tushekani type..[lol]

 

Niko livu,basi nina lala tu,narudi kazini Monday...nilisha kwambia mfuko wake niweke njee siyo wewe ulisema bwana fanya bidii nawe umstareheshe..lol

Share this post


Link to post
Share on other sites

Sijajua malkia umekua mgeni wa kiswahili mungu wangu we.. mwanmki wewe si juzi juzi tu ulikwenda bongo wewe, manaki ndo nini kiswahili ni luga ya tuatu...nakuhu advaisi Sasa wewe malkia kumbe unasheka mambo ya jana sana tembia kwa muda basi, siku hizi mambo yote ni kweka mfuko wa rambo nje wala sio ule mweusi wajua..lol

 

Lol nishiki tushikani...si ndoa ya historia hiyo..mume moja tu, mnapepezana tu nye kwa nye leo kiswahili ya mita tu lol

 

Ps malkia ukiwaskia wadogo zangu yani kiswahili hata kimoja sifahamu manaki ni mita tu..ndo naji funza sasa hivi kabla sija fika nyumbani alafu nikafungwa mikamba mwenzako.. mwanai vipi naye hali leta stori bibia?

Share this post


Link to post
Share on other sites
Malika   

Lol..nilipoenda nyumbani nilikuwa mgeni,acha kuto kuelewa slang inayozungumzwa siku mjua hata mtu mmoja...watu wote nilio kuwa nawajua either wamekufa ama wako majuu..

 

CL,unamengi ya kunifundisha dada..siko na siku hizi miye old school kinda girl..[lol] nitakalo ambiwa ndilo ninalo fuata..heh

 

mwanagu hajambo,leo tumeshinda ndani tuu bado tumevaa pajamas...raha tupu!alhm

 

ps. Enjoy your weekend dear! am sure its just about to start..tick tock tick tock.. smile.gif

Share this post


Link to post
Share on other sites

Lol Maskini we, mwenzako yanayo nesivu mwenzio ni naongea Kiswahili kila siku nyumbani na ndugu zanu hapa na uko bongo so Kiswahili hakini pegi chenga sana, lakini sio fresh kama zamani..wewe nahamu ya kurudi nyumabni marafiki zangu wenge wako majua lakini karibu watano wana kwenda bongo this summer so tuta kutana uko, lakini kuna watu tele nataka niwaone maisha yao yamekwendaji, wenge wame olewa na watoto so,. Ntawakuta uko tu, na familia yangu pia wako uko..

 

Malkia, usiwazi tuta findishana Kiswahili basi na maslan yote wala usiwazi, aah umeshenda nyumbani namwanai that’s soo sweet, leo ni siku ya kushenda nyumabni, sio ya kutamba lakini geza teyari nje..

 

Lol malkia leo ni leo… tuna kula mshkaki kwa mlija, mwenzako nasubiri simu moja, halafu ndo nakimbia wala usiwzi nepo bado..

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this