Sign in to follow this  
Warrior of Light

Pure swahili one

Recommended Posts

KULIKUA NA WATU WATANO WAKISAFARI ANGANI NI WALIKUA

GEORGE W BUSH

SCHOOL KID

POPE PAUL

PILOT

NA BILL GATE

 

KATIKA SAFARI ANGANI NDEGE ILIHARIBIKA NA IKAWABIDI WAVAE MAPARACHUTI WARUKE KWA BAHATI MBAYA KULIKUA NA MAPARACHUTI MANNE TU

GEORGE W BUSH AKARUKA NA KUJITETEA ALISEMA

 

MIMI NI BUSH SIWEZI KUFA NI PRESSIDENT WA USA PRESIDENT MWENYE AKILI SANA DUNIANI NIKIFA DUNIA PIA ITAKUFA. MTOTO AKAMPA BEGI MOJA AKARUKA NALO.

 

AKAJA POPE PAUL AKASEMA MIMI NI MWANA DINI DUNIANI SIWEZI KUFA WAKAMPA AKARUKA.

 

AKAJA PILOT AKASIKITIKA NA KUSEMA KAMA ANAFAMILIA NDIO KWANZA AMEZAA HAWEZI KUIACHA FAMILIA YAKE NA AKAPEWA NA KURUKA.

 

SASA BADO YULE MTOTO NA BILL GATES

BILL GATES AKASEMA WEWE CHUKUA NAARUKA MIMI NI TAJIRI SANA KILA NINACHO TAKA DUNIANI NAPATA SASA SIONI TENA RAHA YA DUNIA WACHA NIFEE...

MTOTO ALIJIBU USIWE NA WASI WASI YAPO MAWILI YAMEBAKI YULE PRESSIDENT WENU MWENYE AKILI SANA DUNIANI AMEVAA BEGI LANGU LA SKULI(backpack) BADALA YA PARACHUTI KALIACHA...

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this