Sign in to follow this  
Business_Man

How many of you know Swahili?

Recommended Posts

Vipi kaka zangu na ma dada?, poa sana. Na andika kwasababu nataka nijuwe kwamba nani anajua kiswahili katika Somalia Online. :D

 

Peace.

 

 

P.S Kama wewe ni mlendo mkorofi, naomba utoke hapa kwasababu meme sipendi watu wajeuri! :rolleyes: . For those who dont understand this then I suggest you get a translator! :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

P.S Kama wewe ni mlendo mkorofi, naomba utoke hapa kwasababu meme sipendi watu wajeuri!

Bachelor, wacha vita wewe, niaje beste lakini... hujui kuna waswahili hilisi kati zetu? a-ah ama mbona sisemi wahenga wenye kiswahili sanifu smile.gif Sinaneno jamaa, langu nikujaribu kufunza kiswahili tena. Kwa-ajili kiswahili kimeni-wacha zamani zakale!

 

Aw vep' mazee? Bonga neno! :D

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by Continental Batchelor:

Vipi kaka zangu na ma dada?, poa sana. Na andika kwasababu nataka nijuwe kwamba nani anajua kiswahili katika Somalia Online.
:D

 

Peace.

 

 

P.S Kama wewe ni mlendo mkorofi, naomba utoke hapa kwasababu meme sipendi watu wajeuri! :rolleyes: . For those who dont understand this then I suggest you get a translator!
:D

Looool..bro..kuna watu wengi wanavyojuwa kiswahili..chunga hiyo mdomo yako ;)

wacha vituko icon_razz.gif

Share this post


Link to post
Share on other sites

Meme ni mtu wa Hargeysa lakini nimezaliwa Mogadishu!. Nilikua na ka na ayeyo wangu uko Tabora, Tanzania. Yeye ndiyo amenifundisha Kiswahili cha mana!.Nilikua ulaya kwa miyaka kumi na nne!

 

STLHM Lady......Vipi dada, Na penda sista zangu waa africa sana lakini walendo wa uko somalia hawana mapango mazurisana!

 

Vipi Mindstate....Wewe ni mtu wa mana sana!. Welcome.

 

Peace.

Share this post


Link to post
Share on other sites

Walaahi seeing you guys writing swahili so well reminds me of how much i have forgten, lakini hakuna matata , inshallah nata rudi ile mahli mi na ita Njumba Yangu soon

Share this post


Link to post
Share on other sites

lol jamaal & mindstate i can guess u guys.... ni watu ya nairobi ...lol jamaal una ongeya slang beste lol.. u remined me kenya ku sema kuweli

 

batchelor kiswahli yako ni noma lakini hana homa lol j/k

 

 

Mindstate .. sema mshamba siku hizi huonekane?

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

Hey waswahili wenzangu... walaahi kiswahili yangu is not to the standard. I have forgotten much of it, thats why I don't join swahili cirlces that much.

 

Master-Mafia lol I know beste is a nairobi thing... just as words like "innit!" is a London thing lol. I hope we'will all beinmg able to practice thru SOL.

 

Asanteni

Share this post


Link to post
Share on other sites
murefu   

ati watu unaongeya kisiwahili hapa...mluuuuuuuuuuuuuundooo..alukuwa around..oye bebuwa islii mi na fkiriya watu ya jam-street NI around.. maajoOOOOOOOOOOOOOO mi najuwa huyu pkeyake ni watu yaa JAM-STREET

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by murefu:

[ hapa...mluuuuuuuuuuuuuundooo..alukuwa around..oye bebuwa [/QB]

uta ni pepa wapi ?

Kikombay ama ngara

waraa wewe ni watu ya jam street

it seems wewe ni watu ya "mira"

 

 

Murefu maxaa gabar chips radineeso isbaaro udhigatay

Share this post


Link to post
Share on other sites
maajo   

waaaw,nani hyu? murefu ama ..sema besteee..hali ni vipi..ati bebuwe islii ..loooooooooooooool..

niyaje bana..saihi mi niongeya URDU jo..nime sahawu kisiwahili ..sasa hapari ya uko bana...or hapari ya kanii bana...soul-night watu wana endha uku indiyo:) muurefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu..watu ya zamani ..(waweynka )

salimya watuyangu ..me iko hapa hapa to.. study nime over lakini ..nowhere to go..

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this