Sign in to follow this  
Section6er

Ask a Sujui

Recommended Posts

IL CAPO   

Originally posted by raula:

sasa nafikiri umefahamu :D

 

Ok...sasa niko na swali:-

 

1. Namisikia wasee wa Wajer na Garissa wana enda haja kwa ma mitungi icon_razz.gif ni kweli mambo hayo?(its just a joke..I love wasijui wote walaahi) lakini namwenjoy IL_CAPO.

[/QB]

Ndio nime ku fahamu lakini Jamani mimi sina hata Ndururu, nikona broke sana na wewe una taka dahabu,gari,nyumba kali,tv na ugali kwa sababu wewe ni mtu ya Rift Valley na Papa wangu hata hana kuku moja let alone Ngamia:( .

 

 

LooooooooooooooooL,ume anza Mtusi sasa :D:D .

umeni kumbusha wakati Mzee Moi ali kuja Garissa na ame mambiya watu "Pandeni Mwiti" sasa watu wangu wame kimbizana alafu wote waka panda ma mwiti lakini Mzee Moi meant kusema "Be Farmers" :D:D

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by raula:

^^^hehehe. By the way Mr. BARRALAATI
quote:my question, i like ths language, but for goodness sake help me out, i forgot most of it since i didn't speak it for quite some time, i only need brush-ups.

:D

kama wataka mafunzo ya kukuzidishia kiswahili chako...unajua mi na offer once a week
casharka habeenka
;)
(wakase noh!)lol-free of charge
hadaad casharka le kaso baxdiid
-lol.

 

So Sectioner-kaka we ni mzalendo wa kenya mbona unaitwa SIJUI? na umetoka kenya upande gani kijana?
Am from kitale, na wewe

Share this post


Link to post
Share on other sites

Originally posted by IL CAPO:

umeni kumbusha wakati Mzee Moi ali kuja Garissa na ame mambiya watu "Pandeni Mwiti" sasa watu wangu wame kimbizana alafu wote waka panda ma mwiti lakini Mzee Moi meant kusema "Be Farmers" :D:D

Hehe, kweli duniani kuna mambo.

 

Yasmine, Walalo your welcome.

 

Raula,

Wazee wa koasti hawana makuu wantaka springi chi-ken wakuwapikia samaki wa kupaka, au wakuimbia taarabu. Au kuwachezea chakakacha wajua tena. ;)

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

Kucheza chakacha wa kimombasa - wala la pemba unguja - yazidisha afya mpaka mwili kimetameta na 'afya mbora'. Sasa dadangu SisSade, wa taka kunieleza Raula ni mchezaji wa kiastajabu?

 

Anyway, habari zenu wenzangu waswahili!

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

^^I sense that you would like you some sijui-gal ;) dont worry pumpkin-there are plenty :D

Sasa J11-we unanitusi au nini kakangu. Nakuambia nikianza kusokota kiuno kwa chakachaka-atereere(kikuyu :D )utasema gai wakwega(mungu saidia in kikuyu icon_razz.gif )loool. Lakini niwaeleze waswahili wenzangu-walaahi nimesikiza Taarab za unguja/pemba/zanzibar-nawaambia mtapenda pia.

 

J11-we unaweza atleast kumove kwa mziki..au hewezi kutingika hata icon_razz.gif

 

IL-Capo-ilikuwa joke maze-pole kakangu.

 

sasa waswahili wenzangu..ebu mnipe jokes za kiswahili-nimemiss siku hizi kusikiza vituko vyao.

 

baadaye wenzangu :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

^^^ :D Wacha kujitia fora Dada Raula, hatujamaliza kubishana bado. Nimesikia kivumo (gossip) yakuwa Raula ana kiumo cha-mgongo smile.gif , na akijaribu ku sokota na mziki hupatwa na taabu!

 

:D Salaalah! Sasa hiyo indo kuezeka ... wasemaje Muunguzi wetu halili! smile.gif

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

hehehe..naona ishafika jioni na wakati wa chai eh! na matusi yajaa mdomoni..unazitema kama TAQSIN(remnants ya veve/kengeta/mirungi/miraa :D )ya jana usiku :rolleyes: lol-kidding. J11-habari zenye zimekufika ati RAULA ana kiuno cha mgongoni umeletewa na watu wako na wivu kama mke aliyepigwa domo(wallac in somali)-wasee hawa hawawezi kupata sura kama yangu ;):D -uliza wasee wa Minnesota-(jina langu ni HURUL-AYN wa kinomadi :D ).

J12-nafikiri hiyo mapengo yako :D (looooooool..kama uko na mapengo..walaahi your combination of poetry and mapengo-is perfect like GITHERI icon_razz.gif ) imekudanganya. Hamna neno kama UNAMCHUNGUA (peeping) RAULA-siye ni BINTI tu

 

Section6er-ok..we mtu wa kitale eh..me mtu aliyetoka pahali paitwa SHAMUKHOKHO :D (upande ya waluhya na wamaragoli)

Share this post


Link to post
Share on other sites
Paragon   

^^^ Dadangu, sijasikia chochote, hiki ni tashtiti(tease) tu! :D Ijapokuwa nimependelea kukuchokoza wakati-wengi, inajulikana ya kwamba haiba lako ina-angaa :D

Share this post


Link to post
Share on other sites
nuune   

abidkeey swahiligaan aa ku hadleesan koo ka adag maba arkin, Mwai Kbaki iyo Odinga Wadinga xataa noocaan kuma hadlaan, aawey noocii aan aqaaney aka jacburis

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

SisSade dada hamna shida-chakachaka,lingala, Taarab,Ndombolo zote nakuambia dada zote nakata :D hata kinanda ya wakamba icon_razz.gif:D akina katitu..looooool

 

IL-CAPO (mzee wa Garissa) umepotea wapi ndugu..ama wataka kuja na hiyo mashairi ya mahaba-bila-sukari :D sikiza kijana, mimi ni shosho(granny) na mahaba ya kitoto nimezistudy kama kitabu-demu ukimpembeleza umtie madoido nakuambia utabaki na kiatu moja-lakini sijasema ukuwe mkono ngumu pia ;) (a lil' pampering wont hurt, but she has to not recognize it). Halafu pia, wacha mambo ya kulalamika..salaala..we ulikuwa cousins na wakikuyu au nini? gai wakwega icon_razz.gif

SisSade ebu mwelezee mahaba ya ki-TZ dada.

 

J11-(mkimbizi kutoka zambia)msikize ndugu wako JUMANNE ;) Nawe JUMANNE..sijapata mshahara wa mwezi huu..watoto walia hapa ati baba wao yu wapi..nami nimewapa story ati ameenda for RELIEF-AID purposes in SOMALIA :D

 

Section6er-mimi mtu wa KAPSABET-Jamgee!

Share this post


Link to post
Share on other sites
raula   

^^^^walaahi kumbe nilikuwa NOMA siku hizo. Wakati huu kisomali na kienyeji, hata zile za kuomba zimepotea-mungu saidia :Dicon_razz.gif

Share this post


Link to post
Share on other sites

Join the conversation

You can post now and register later. If you have an account, sign in now to post with your account.

Guest
Reply to this topic...

×   Pasted as rich text.   Restore formatting

  Only 75 emoji are allowed.

×   Your link has been automatically embedded.   Display as a link instead

×   Your previous content has been restored.   Clear editor

×   You cannot paste images directly. Upload or insert images from URL.

Sign in to follow this